Avsnitt Yaliyojiri Afrika:Wanariadha wa Uganda watoweka Scotland SBS Swahili - SBS Swahili Spela Dela
Mabondia wanne wa timu ya Uganda, wametoweka baada yakufeli kujitokeza kwa safari zao za ndege zakurejea nyumbani, baada ya kushiriki katika michezo ya jumuiya yamadola mjini Glasgow. Rss Apple Podcaster →