Avsnitt Yaliyojiri Afrika: Uganda na Tanzania za zindua ushirikiano wa nishati SBS Swahili - SBS Swahili Spela Dela
Bandari ya Tanga itakuwa kitovu muhimu cha nishati katika jumuiya ya Afrika Mashariki, chini ya ushirikiano mpya wa nishati uliozinduliwa kati ya serikali ya Uganda na Tanzania. Rss Apple Podcaster →