Avsnitt Yaliyojiri Afrika:7 wafariki katika ajali ya helikopta Kenya SBS Swahili - SBS Swahili Spela Dela
Watu saba, wakiwemo raia watano wa Marekani na mkuu wa ujasusi wa Ecuador, wamefariki baada ya helikopta ya watalii kuanguka karibu na Mlima Ololokwe, katika kaunti ya Samburu nchini Kenya. Rss Apple Podcaster →