Ni nini kinatokea baada ya lights kuzimwa, microphone kuwekwa chini, na crowd kuondoka?
Katika kipindi hiki cha Tikvah Podcast, tunazungumzia upande ambao mara nyingi hauonekani wa public praise—pressure ya ku-maintain image, kutafuta validation, na kutegemea applause ili kujisikia valuable.
Tunaangalia jinsi stage, social media, influence na public recognition vinaweza kuwa tools nzuri, lakini pia vinaweza kuanza kuchukua nafasi ya identity yetu.
Je, unaweza bado kujua wewe ni nani bila title, followers, applause au spotlight?
Kipindi hiki ni reminder kwamba identity yetu haipo kwenye performance, success au public image, bali ndani ya Kristo.
Your gift may put you on stage, but the stage should never define who you are.
Podden och tillhörande omslagsbild på den här sidan tillhör
Tikvah. Innehållet i podden är skapat av Tikvah och inte av,
eller tillsammans med, Poddtoppen.